RIGHT WAY FOR DELOPMENT (RIWADE)
RIWADE, hii ni asasi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa mwezi Juni 2016, ikiwa na usaili namba (ooNGO/08696) kwa lengo la kuwasaidia vijana wasio na ajira waweze kufanya kilimo, ufugaji, uvuvi wa kisasa ulio endelevu na mazingira. Na pia kuwahusisha wakulima katika ngazi zote ili kuweza kushirikiana katika kutatua changamoto zinazokabili kilimo, ufugaji, uvuvi na mazingira kwa ujumla . Hivyo msingi wa RIWADE umejengwa kwenye mahitaji ya wakulima, wafugaji na wavuvi. RIWADE inahusisha wadau wengine kama vile washauri na watalaamu wa vyuo vikuu, makampuni, serikali na taasisi binafsi katika kutekeleza shughuli zake. Mpango huu shirikishi unatengeneza msingi wa ubunifu ambapo, usambazaji wa elimu, utafiti na ushirikiano hujenga nguzo kuu.
DIRA YETU. (Vission)
Kuzifikia na kuziboresha huduma za jamii ambazo zitapelekea ukuaji wa hali ya kimaisha kwa wananchi.
DHIMA YETU. (Mission)
Kutengeneza na kutoa fursa kwa watanzania wote ili waweze kupata elimu ya ujasiriamali na namna ya kutengeneza mitaji kwa ajiri ya ukuaji endelevu wa kijamii na kiuchumi.
MISINGI YETU.
Uadilifu
Uwajibikaji
Uvumbuzi
Uaminifu
KAULI MBIU.
"Ardhi Ni Mtaji"
CONTACTS Managing Director
Eng. Ayubu Massau .
Head Office
P.o. box 682
Morogoro.
Tell. 0763188907
General Secretary
Shadrack Charles Makaya
Tell. 0752817289
Project Evaluator
Elisaria Swai
Tell. 0788919510
" IT manager"
Johnson Zablon
Tell. 0765926368
Regional Managers.
Arusha Regional Manager
Baraka S. Mchomvu
Tell. 0687176587
Lindi Regional Manager
Shabani Zuberi
Tell. 0783728809
Ruvuma Regional Manager
Sheria Buckley
Tell. 0754424883
Kilimanjaro Regional Manager
Shadrack Charles Makaya
Tell. 0752817289.
Mtwara Regional Manager
Pilly Chande
Tell. 0656635808
Mbeya & Songwe Regional Manager
Isakwisa Banunu Mwakamoja
Tell. 0752132314.
Njombe Regional Manager
Nafiwe Miho
Tell. 0769665206
Iringa Regional Manager
Vumilia J. Chacky
Tell. 0719056060
Tanga Regional Manager
Bahero Hassan Wema
Tell. 0652020297
Pwani Regional Manager
Khanifa Byamungu
Tell. 0715684196
Tabora Regional Manager
Stephen I. Nyagalu
Tell. 0757888044
Dodoma Regional Manager
Rahim Kalyango
Tell. 0717184731
Morogoro Regional Manager
Elisaria Swai
Tell. 0788919510
Mara Regional Manager
Masatu Bure Salum
Tell. 0759782429
Simiyu Regional Manager
Nkuba Kibayu
Tell. 0759919209
Mwaza & Katavi
Regional Manager
Diana Joseph Madukwa
Tell. 0754213256
Dar es Salaam Regional Manager
Anitha Said
Tell. 0719620644
Dar es Salaam Regional Manager
Ochieng Felix Okombo
Tell. 0654092683
Manyara Regional Manager
Batare Mbaraka
Tell. 0769323117
Manyara Regional Manager
Fredrick Jonas
Tell. 0682529281
Singida Regional Manager
Juma Ramadhani
Tell. 0756222314
Kigoma Regional Manager
Anton Mwita Kitereri
Tell. 0758382121
Rukwa Regional Manager Paul Elias Manzile
Tell.0757313953
Shinyanga Regional Manager
Elikana Machanya
Tell. 0768011069
Geita Regional Manager
Solo manoni
Tell 0757281331
Kagera Regional Manager
Dativa Paul
Tell: ,0765571557
Pia tunapatikana
Blog: riwade.blogspot.com
Facebook: Riwade
Twitter: Riwadwtz
Instagram: Riwadetanzania
Email: riwadetanzania@gmail.com

No comments:
Post a Comment